Mkuu
wa Jeshi la Polisi nchini IGP Ernest Mangu, akisalimiana na makamishna
wa Jeshi la Polisi baada ya kuwasili kwa ajili ya kumpokea mgeni rasmi
Naibu Waziri wa Mambo ya ndani kwenye ufunguzi wa mkutano Mkuu wa
Maofisa wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi unaofanyika katika chuo cha
taaluma ya Polisi Moshi.
Naibu
waziri wa Mambo ya Ndani Mh, Pereira Ame Silima akisalimiana na
↧