NAIBU Mwanasheria Mkuu, Mhe George
Masaju (pichani) amedai mahakamani katika kesi ya kikatiba
iliyofunguliwa na Kituo cha Haki za Binadamu (LHRC) na Chama cha
Wanasheria Tanganyika (TLS) dhidi ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda kwamba kwa
mujibu wa katiba mamlaka ya mahakama kuingilia mwenendo wa bunge
yameondolewa.
Pia,
Mhe Masaju amedai kuwa kwa mujibu wa Katiba ya nchi
↧