Mwigizaji maarufu wa filamu nchini, Elizabeth Michael Kimemeta,
amekiri mahakamani kuwa na uhusiano wa kimapenzi na aliyekuwa mwigizaji
mwenzake, Steven Kanumba na pia kuwa ugomvi na Kanumba siku ya tukio la
kifo cha mwigizaji huyo, lakini akakana mashtaka ya kumuua bila
kukusudia.
Lulu ambaye yuko nje kwa dhamana anakabiliwa na
kesi hiyo katika
↧