HALI ya taharuki iliyoambatana na imani za kishirikina iligubika Jiji
la Arusha kufuatia mwanamke ambaye hakufahamika jina kudondoka na ungo
wa kishirikina asubuhi ya Ijumaa iliyopita kisha ghafla kubadilika kuwa
kuku mweupe mwenye mayai ndani ya ungo....
Mamia ya wananchi katika eneo la Kimandolu kando ya Barabara ya
Arusha- Moshi walimiminika kushuhudia tukio hilo lililojiri saa tatu
↧
Mchawi wa ungo adondoka jijini Arusha ....Baada ya watu kujaa, abadilika ghafla na kuwa kuku mweupe
↧