Quantcast
Channel: MPEKUZI
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Video Mpya ya Lady JayDee- " HISTORIA"...Bofya hapa uione

Baada ya kuzinduliwa rasmi Jumamosi (February 8), Lady Jay Dee ameiachia video ya wimbo wake ‘Historia’, iliyofanywa na kampuni ya Ogapa Video ya nchini Kenya. Iangalie hapo  chini:

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wastara Juma ataka kujiua kwa sumu....Kisa chadaiwa ni madeni, manyanyaso na...

IKIWA imetimia mwaka mmoja na miezi kadhaa tangu kifo cha mumewe, Juma Kilowoko ‘Sajuki’, staa wa filamu za Kibongo, Wastara Juma, Jumamosi iliyopita amedaiwa kufanya jaribio la kutaka kujiua kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Watanzania asilimia 33.4 watajwa kuwa ni maskini waliokithiri

Utafiti uliofanywa na Taasisi ya Utafiti wa Uchumi na Jamii (ESRF), umebaini asilimia 33.4 ya Watanzania wameghubikwa na umaskini uliokithiri jambo linalosababisha vifo, msongo wa mawazo, afya duni na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Alichokisema Dr. Slaa baada ya ofisi za makao makuu ya CHADEMA jijini Dar...

Usiku wa kuamkia February 11 makao makuu ya Chama cha Demokrasia na Maendelea Chadema yaliyopo jijini Dar es salaam yamenusurika kuteketea kwa moto baada ya watu wasiojulikana kufanya jaribio la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mabilioni CHADEMA yateketea bure...Mbowe, Dr. Slaa waambulia AIBU mikoani,...

Wakati  mwenyekiti  wa  chama  wa  Demokrasia  na  Maendeleo  (CHADEMA) , Freeman  Mbowe  na  katibu  mkuu  wake, Dr. Wilbroad  Slaa  wakiwa  na  mkakati  wa  kummaliza  kisiasa  aliyekuwa  naibu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mgomo wa wafungwa waipa changamoto magereza.........

 Tishio la mgomo wa wafungwa 17 waliohukumiwa kifo na wa vifungo vya kati ya miaka mitano hadi 30 katika Gereza Kuu la Lilungu lililopo mkoani Mtwara, limelitikisa Jeshi la Magereza nchini na kuchukua...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mbunge wa CCM Badwel yupo kitanzini tena

Kamati I ya Uhakiki wa Fedha za Mfuko wa Jimbo la Bahi Mkoani Dodoma iliyoundwa na Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi, imemtia hatiani na kumuweka katika wakati mgumu Mbunge wa jimbo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Baada ya ajali mbaya ya ndege... Algeria yatangaza siku tatu za maombolezo.....

Ndege aina ya Hercules C-130 baada ya kupata ajali Algeria imeanza siku tatu za maombolezi ya kitaifa kufuatia ajali ya ndege iliyowaua watu 77 Kaskazini Mashariki mwa nchi hiyo.   Abiria mmoja...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Taarifa ya Jeshi la Polisi kuhusu kumuaga Mstaafu IGP Mwema

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI  Jeshi la Polisi nchini, linapenda kuufahamisha umma kuwa, mnamo tarehe 15/02/2014 siku ya Jumamosi katika viwanja vya Polisi Barracks, barabara ya Kilwa, jijini Dar es...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tume ya Uchaguzi yatoa Taarifa kuhusu uchaguzi wa Ubunge Kalenga

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI UCHAGUZI MDOGO WA UBUNGE JIMBO LA KALENGA Tume ya Tifa ya Uchaguzi imepokea barua kutoka kwa Mhe. Spika wa BUNGE la Jamhuri ya Muungano Tanzania ya kuiarifu uwepo wa nafasi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mbunge wa Iringa Mjini Mchungaji Peter Msingwa adaiwa kuwa ni MSALITI baada...

Umoja wa Wabunge wa Hifadhi ya Wanyamapori na Mazingira (TPGSNRCU), umemshukia mbunge wa Iringa Mjini Mchungaji Peter Msingwa (CHADEMA), ukidai ni msaliti na mnafiki. Umoja huo umesema kauli...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Vigogo 6 wa CCM kitanzani leo.....Kamati ndogo ya maadili kuwahoji kwa tuhuma...

KAMATI Ndogo ya Maadili ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), leo inaanza kuwahoji wanachama sita, wakiwemo viongozi waandamizi kwa tuhuma za kuanza harakati za urais mwakani  kinyume cha utaratibu. Wanachama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali yapigilia msumari matumizi ya mashine za EFD kwa wafanyabiashara...

SERIKALI imeonya kuwa, mashine za kielektroniki (EFD) zisiwe chanzo cha kuvuruga amani ya nchi, na zitaendelea kutumika kwa mujibu wa sheria.   Imesema msimamo wake uko pale pale na kamwe...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Taarifa ya SUMTRA kuhusu kurudishwa kwa usafiri wa mabasi yaendayo Ferry na...

  YAH: KURUDISHWA KWA USAFIRI WA MABASI KWENDA FERRY NA MNAZI MMOJA Kutokana na adha wanayopata abiria wanaofanya safari zao kati ya Kivukoni na Mnazi Mmoja, SUMATRA ikishirikiana na kikosi cha usalama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete azindua mabango ya kuhamasisha wananchi kupiga vita mauaji ya...

Moja ya mabango yaliyozinduliwa na Rais Jakaya Kikwete usiku wa kuamkia leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kwa ajili ya kuhamasisha wananchi kupiga vita...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Miss Tanzania akiri kutembea na kondom kwenye mkoba wake kwa masaa yote...

  MISS Tanzania 2011, Salha Israel ameweka bayana bila ya woga wowote kuwa, kwenye pochi yake hakaukiwi na mipira ya kiume ‘kondom’...   Salha alisema hayo, juzi Jumanne katika mahojiano maalum  na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mvurugano Bunge la katiba: CHADEMA yatishia kususia bunge hilo

WAKATI keshokutwa Bunge Maalum la Katiba linaanza kukutana mjini Dodoma, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema huenda kikasusia Bunge Maalum la Katiba iwapo litaendeshwa kwa kufuata...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete achoshwa na vurugu za wapinzani....Awataka wanaCCM kuacha...

Mwenyekiti wa Taifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete amewataka wanachama wake kuacha unyonge na kujibu mapigo ya wapinzani hasa wale ambao wanaendesha siasa za vurugu katika kampeni za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mh. Benard Membe naye ahojiwa na kamati ya maadili CCM

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Ndugu Bernard Membe akizungumza na waandishi wa habari baada ya kumaliza kuhojiwa na Kamati Ndogo ya Maadili ya CCM mjini Dodoma leo Februari 16,2014....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wajumbe wa Bunge la Katiba kulipwa sh. 300,000 kwa siku na siyo sh. 700,000/=...

Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Thomas Kashillilah, amewaambia waandishi wa habari kuwa  Bunge Maalumu la Katiba litazinduliwa rasmi Februari 26, 2014 huku kila mjumbe akilipwa...

View Article
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>