TANESCO yajipanga kuboresha vituo vya kupoozea umeme jijini Dar ili kupunguza...
SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO), limesema lipo katika mpango wa uboreshaji wa vituo vidogo vya usambazaji na upoozaji wa umeme katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam kwa lengo la...
View ArticleTanzania kuwa mwenyeji wa mkutano wa kimataifa wa kuzuia uhalifu kwa njia ya...
TANZANIA inatarajia kuwa mwenyeji wa mkutano wakimataifa utakaojadili uzuiaji wa uhalifu unaotokana na matumizi ya njia ya mtandao, unatarajia kufayika Jijini Dar es Salaam, Machi 27 hadi 28 mwaka huu....
View ArticleMuuza magazeti ajitokeza kuwania ubunge jimbo la Kalenga kwa tiketi ya CHADEMA
Bw. Aidan Pugili WAKALA wa magazeti mjini Iringa Aidan Pugili (34), amejitokeza kuwania ubunge katika jimbo la Kalenga mkoani Iringa kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Uchaguzi mdogo...
View ArticleWema Sepetu awashangaa wanaomponda Jokate Mwegelo kwa kumaliza ugomvi wa...
Mwigizaji Wema Sepetu, amewashangaa wanaomponda Jokate Mwegelo kwa kumaliza tofauti baina yao akisema kuwa hawatendi haki na wanaingilia uhuru wa wasanii hao. Kauli ya Wema imekuja siku chache baada...
View ArticleUchaguzi wa madiwani: CCM yapata ushindi wa kishindo ....Yashinda kata 24...
WAKATI Chama Cha Mapinduki (CCM),ikishinda Kata 24 Kati ya Kata 27 ambazo Uchaguzi Mdogo wa Madiwani Umefanyika jana Kote Nchini, mjini Kigoma katika jimbo la Mbunge wa Chadema Zitto Kabwe ushindi...
View ArticleSkendo ya kujiuza yamfanya baby madaha apigwe chini na Record label yake ya...
Mwanamuziki na muigizaji baby Joseph madaha amefunguka na kusema kuwa kweli ameamini uchawi na kupigana juju vipo kwenye gemu kwani mambo yaliyomtokea hivi karibuni haelewi hata imekauje. Chanzo...
View ArticleWaliotangaza nia CCM kabla ya wakati watiwa kikaangoni
Baadhi ya makada wa CCM ambao wataitwa mbele ya Kamati ya Maadili na Usalama ya chama hicho, wanakabiliwa na shtaka la kutoa rushwa kwa lengo la kushawishi kukubaliwa kwao, Mwananchi limebaini....
View ArticleMume amenitelekeza na watoto wanne..... Ndiye aliyesababisha nikomee darasa...
Nkasi, Rukwa MATUKIO ya utelekezaji wa mke na watoto nchini Tanzania bado ni changamoto kubwa katika jamii. Licha ya matukio haya kutofautiana kutoka eneo moja hadi lingine bado yanachochewa na...
View ArticleMuuaji wa Tarime afa kwa ugonjwa.......
Mtuhumiwa wa mauaji na unyang’anyi wilayani Tarime mkoani Mara, aliyekuwa akitumia majina matatu ya Charles Range Kichune, Josephat Chacha, Charles Joseph Msongo (38) aliyekuwa akihojiwa na Polisi,...
View ArticleMoja kati ya yaliyotokea kwenye uchaguzi wa madiwani...... mbunge ajeruhiwa,...
Chaguzi za udiwani katika kata 27 uliofanyika jana katika maeneo tofauti ulitawaliwa na matukio mabaya yakiwamo ya polisi kutumia mabomu ya kutoa machozi, huku mbunge mmoja akicharangwa mapanga na...
View ArticleVigogo wa TBA wahukumiwa miaka 9 Jela….Ni wale walioruhusu Ujenzi wa Jengo...
Vigogo wa TBA, Makumba Kimweri (kulia) na Richard Maliyaga (kushoto) wakiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar! (Picha na Maktaba). ** Watu wawili wamehukumiwa kulipa faini ya Sh. Milioni 15...
View ArticleMwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida afikishwa...
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es Salaam pia ni Mkurugenzi Mkuu Kiwanda cha Kutengeza Dawa (TPI Ltd) Ramadhani Madabida na wenzake watano wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi...
View ArticleCCM yatoa shukrani kwa wananchi kwa kuimwaga CHADEMA katika uchaguzi mdogo wa...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimewashukuru Watanzania kwa kukiamini na kukipatia ushindi wa kishindo katika uchaguzi mdogo wa udiwani uliofanyika jana katika kata 27 na CCM kushinda kata 23. Akitoa...
View ArticleMaeneo ya Ikulu yageuzwa uwanja wa ngono na ukabaji
Wananchi wa mtaa wa Pwani katika Manispaa ya Bukoba, wamelalamikia vitendo vya ngono vinavyofanyika katika maeneo ya Ikulu ndogo na kutaka vidhibitiwe kwani vinaidhalilisha serikali ya mkoa Kagera....
View ArticleWafanyabiashara waendelea kugoma kila kona kupinga matumizi ya mashine za EFD
Sakata la matumizi ya Mashine za Elektroniki za Kutolea Risiti (EFD), limechukua sura mpya baada ya wafanyabiashara mikoa mbalimbali kuja juu wakisema matumizi yake yanalenga kuwaangamiza katika...
View ArticleVigogo sita CCM ambao wanatajwa kuwania Urais 2015 waitwa Kamati ya...
Vigogo sita ambao wanatajwa kuwa wanajiwinda kwa ajili ya kuwania urais kupitia CCM katika uchaguzi mkuu ujao, wameitwa mbele ya Kamati ya Ndogo ya Maadili ya chama hicho, kwa ajili ya kuhojiwa kwa...
View ArticleRais Kikwete aongoza kikao cha kamati kuu ya CCM Ikulu jijini Dar leo
Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Kamati kuu ya CCM ikulu jijini Dar es Salaam leo.(picha na Freddy Maro)<!-- adsense -->
View ArticleCUF kutosimamisha mgombea katika uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la...
Mbio za kuwania ubunge katika Jimbo la Kalenga unabaki kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Chama Cha Mapinduzi (CCM), baada ya Chama cha Wananchi (CUF) kuthibitisha kutosimamisha...
View ArticleLinex akanusha kuwa na uhusiano wa mapenzi na Agnes Masogange, ..."Sina...
Linex Sunday Mjeda, ambaye hivi karibuni ameonekana kwenye picha kadhaa akipoz na video Queen maarufu Tanzania, Agnes Gerald (Masogange), amekanusha kuwa na uhusiano wa mapenzi na mrembo huyo....
View ArticleMagazeti ya ufaransa yadai Obama ana uhusiano wa kimapenzi na Beyonce,...
Kuna mgongano wa habari kati ya baadhi ya vyombo vya habari vya Ufaransa na vile vya Marekani kuhusu uhusiano uliopo kati ya Beyonce Knowles na rais wa Marekani, Barack Obama. Gazeti la Ufaransa la...
View Article