Mwanamuziki na muigizaji baby Joseph madaha amefunguka na kusema
kuwa kweli ameamini uchawi na kupigana juju vipo kwenye gemu kwani
mambo yaliyomtokea hivi karibuni haelewi hata imekauje.
Chanzo nini?
Hapo siku za nyuma baby Madaha alipatikana na dhahama ya
kukumbwa na kashfa nzito sana ya kujiuza kwa dau la milioni kumi kwa
jamaa mmoja hivi mitaa ya Dar es Salaam Jambo
↧