Baadhi ya makada wa CCM ambao wataitwa mbele
ya Kamati ya Maadili na Usalama ya chama hicho, wanakabiliwa na shtaka
la kutoa rushwa kwa lengo la kushawishi kukubaliwa kwao, Mwananchi
limebaini.
Makada hao ni wale wanaodaiwa kuwa katika harakati
za kuwania urais wa 2015, hatua ambayo imekigawa chama hicho katika
makundi yasiyo rasmi ya yanayowaunga mkono wagombea hao.
↧