Nkasi, Rukwa
MATUKIO ya utelekezaji wa mke na watoto nchini Tanzania bado ni
changamoto kubwa katika jamii. Licha ya matukio haya kutofautiana kutoka
eneo moja hadi lingine bado yanachochewa na kulegalega kwa sheria za
nchi ikiwemo sheria ya ndoa ya mwaka 1971 kwa baadhi ya vipengele.
Waathirika wakubwa wa matukio haya ni mama pamoja na watoto ambao ndio hutelekezwa
huku
baba
↧