Mtuhumiwa
wa mauaji na unyang’anyi wilayani Tarime mkoani Mara, aliyekuwa
akitumia majina matatu ya Charles Range Kichune, Josephat Chacha,
Charles Joseph Msongo (38) aliyekuwa akihojiwa na Polisi, amefariki
katika Hospitali ya wilaya wakati akipatiwa matibabu.
Kamanda wa Polisi Kanda ya Tarime/ Rorya, Justus Kamugisha, alisema
mtuhumiwa huyo alifariki usiku wa kuamkia jana wakati
↧