Chaguzi
za udiwani katika kata 27 uliofanyika jana katika maeneo tofauti
ulitawaliwa na matukio mabaya yakiwamo ya polisi kutumia mabomu ya kutoa
machozi, huku mbunge mmoja akicharangwa mapanga na kukimbizwa
hospitalini kupatiwa huduma.
Katika kata ya Sombetini, jijini Arusha, askari wa Kikosi cha Kutuliza
Ghasia (FFU), walirusha mabomu ya machozi kutuliza vurugu za watu
↧