Vigogo wa TBA, Makumba Kimweri
(kulia) na Richard Maliyaga (kushoto) wakiwa katika Mahakama ya Hakimu
Mkazi Kisutu, Dar! (Picha na Maktaba).
**
Watu
wawili wamehukumiwa kulipa faini ya Sh. Milioni 15 au kwenda jela
miaka miaka 15 baada ya kupatikana na hatia ya makosa matano ya ujenzi
wa jengo la ghorofa 18 lililojengwa jirani na Ikulu lililopo mtaa wa
Chimala Kitalu cha 45 na
↧