MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es Salaam pia ni
Mkurugenzi Mkuu Kiwanda cha Kutengeza Dawa (TPI Ltd) Ramadhani Madabida
na wenzake watano wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu,
jijini Dar es Salaam, wakikabiliwa na mashitaka matano ya usambazaji wa
Dawa bandia za kurefusha maisha kwa waathirika wa UKIMWI na
kuisababishia Bohari Kuu ya Dawa (MSD) hasara ya
↧