WAKATI Chama Cha Mapinduki (CCM),ikishinda Kata 24 Kati ya Kata 27 ambazo Uchaguzi Mdogo wa Madiwani Umefanyika jana Kote Nchini, mjini Kigoma katika jimbo la Mbunge wa Chadema Zitto Kabwe ushindi umekwenda kwa CCM.
Hatua ya Chadema kushindwa katika kata ya Mkongoro inatokana na
mgogoro ulioikumba Chama hicho baada ya Mbunge huyo kuvuliwa nyadhifa zake
ndani ya chama hicho.
↧