Mwigizaji Wema Sepetu, amewashangaa wanaomponda Jokate Mwegelo
kwa kumaliza tofauti baina yao akisema kuwa hawatendi haki na
wanaingilia uhuru wa wasanii hao.
Kauli ya Wema imekuja siku chache baada ya Jokate
kufika kwa kushtukiza katika onyesho lililofanywa na Wema mkoani Arusha
hivi karibuni na kumaliza tofauti zao.
↧
Wema Sepetu awashangaa wanaomponda Jokate Mwegelo kwa kumaliza ugomvi wa kugombania penzi la Diamond
↧