Bw. Aidan Pugili
WAKALA wa magazeti mjini Iringa Aidan Pugili (34), amejitokeza kuwania ubunge katika jimbo la Kalenga mkoani Iringa kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
Uchaguzi mdogo wa kujaza kiti hicho kilichoachwa wazi na Dk William Mgimwa aliyefariki Januari 1, mwaka huu, utafanyika Machi 16, mwaka huu.
Akitumia umaarufu wake wa kuuza magazeti mjini hapa, Pugili
↧