TANZANIA inatarajia kuwa mwenyeji wa mkutano wakimataifa
utakaojadili uzuiaji wa uhalifu unaotokana na matumizi ya njia ya
mtandao, unatarajia kufayika Jijini Dar es Salaam, Machi 27 hadi 28
mwaka huu.
Mkutano huo unatokana na kuwa Tanzania ni miongoni mwa baadhi ya
nchi zinazokabiliwa na changamoto za uhalifu huo kwa njia ya mtandao.
Akizungumza na wandishi wa habari jijini
↧