SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO), limesema lipo katika mpango
wa uboreshaji wa vituo vidogo vya usambazaji na upoozaji wa umeme
katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam kwa lengo la kupunguza
na kumaliza adha ya kukatika kwa umeme nchini.
Vituo hivyo ni pamoja na kile kilichopo katikati ya jiji pamoja na kituo cha Kurasini.
Akizungumza jijini Dar es Salaam wakati wa ziara
↧