Godfrey
Mgimwa, mmoja wa watoto wa Marehemu Dkt William Mgimwa, akiongea kwa
niaba ya familia wakati wa mazishi ya baba yake kijijini Magunga jimbo
la Kalenga mkoani Iringa.
--
Na Francis Godwin, Iringa
**
Mtokeo
ya kura za maoni ndani ya CCM yametangazwa usiku wa kuamkia leo
huku mtoto wa aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo Godfrey Mgimwa akishinda
kwa kishindo katika
↧