Uchaguzi wa madiwani katika Kata za Malindo wilayani Rungwe na Santiliya katika Wilaya ya Mbeya Vijijini mkoani Mbeya , unafanyika leo.
Msimamizi wa Uchaguzi wa Kata ya Malindo, Stephen Mwakingwe alisema maandalizi yote muhimu yamekamilika.
Mwakingwe alisema “CCM imesimamisha Nelson
Mwaitembo, wakati Chadema mgombea
↧