VIONGOZI wa dini nchini wamesema kuwa uhusiano wao na watu wanaoutaka
urais mwaka 2015 si wa kisiasa, bali ni wa kiimani zaidi. Kauli hiyo ya
viongozi wa dini imekuja wakati ambao baadhi ya wanasiasa wamewaelekezea
lawama kuwa wanatumiwa vibaya na watu wanaoutaka urais mwaka 2015.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti na gazeti la Mtanzania viongozi hao walisema
uhusiano wao na wanasiasa,
↧