Tukio hili limetokea kwenye mji mkuu wa Kenya ambao ni Nairobi pale Rais Uhuru
Kenyatta wa nchi hiyo alipotumia gari moja tu bila msafara akitokea Ikulu kwenda
kwenye hoteli moja kwa ajili ya kukutana na Wanafamilia.
Toka amechukua madaraka, Rais Uhuru Kenyatta amekuwa na tabia ya kutumia gari moja tu bila msafara, tofauti na Rais Kibaki ambaye kila sehemu aliyotia mguu
↧