Mbio za kuwania ubunge katika Jimbo la Kalenga unabaki kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Chama Cha Mapinduzi (CCM), baada ya Chama cha Wananchi (CUF) kuthibitisha kutosimamisha mgombea.
Naibu Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano wa Umma wa CUF, Abdul Kambaya, amesema chama chake hakina mpango wa kusimamisha mgombea katika jimbo hilo na kwamba hivi sasa wanaandaa mikutano ya
↧