Wananchi
wa mtaa wa Pwani katika Manispaa ya Bukoba, wamelalamikia vitendo vya
ngono vinavyofanyika katika maeneo ya Ikulu ndogo na kutaka vidhibitiwe
kwani vinaidhalilisha serikali ya mkoa Kagera.
Wakizungumza katika mkutano wa hadhara uliotishwa na Mwenyekiti wa mtaa
huo kuzungumzia hali ya ulinzi na usalama katika mtaa wao, wananchi hao
walidai kuna watu wamekuwa wakiegesha magari
↧