Sakata la matumizi ya Mashine za Elektroniki za Kutolea Risiti
(EFD), limechukua sura mpya baada ya wafanyabiashara mikoa mbalimbali
kuja juu wakisema matumizi yake yanalenga kuwaangamiza katika biashara.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti, wafanyabiashara
hao wameitaka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kufikiria upya mfumo wa
kuzitumia, vinginenyo watajikuta wanaingia kwenye mgogoro
↧