Vigogo sita ambao wanatajwa kuwa wanajiwinda kwa ajili ya
kuwania urais kupitia CCM katika uchaguzi mkuu ujao, wameitwa mbele ya
Kamati ya Ndogo ya Maadili ya chama hicho, kwa ajili ya kuhojiwa kwa
tuhuma za kukiuka maadili.
Habari ambazo zililifikia gazeti la Mwananchi jana
zinawataja vigogo hao kuwa ni Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa,
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uhusiano
↧