Kuna mgongano wa habari kati ya baadhi ya vyombo vya habari
vya Ufaransa na vile vya Marekani kuhusu uhusiano uliopo kati ya Beyonce
Knowles na rais wa Marekani, Barack Obama.
Gazeti la Ufaransa la Le Figaro liliripoti kuwa kuna uhusiano wa siri
wa kimapenzi kati ya rais wa Marekani, Barack Obama na mwimbaji ambaye
ni rafiki wa karibu wa familia ya Obama, Beyonce Knowles.
Habari
↧