$ 0 0 Baada ya kuzinduliwa rasmi Jumamosi (February 8), Lady Jay Dee ameiachia video ya wimbo wake ‘Historia’, iliyofanywa na kampuni ya Ogapa Video ya nchini Kenya. Iangalie hapo chini: