Usiku wa kuamkia February 11 makao makuu ya Chama cha Demokrasia na
Maendelea Chadema yaliyopo jijini Dar es salaam yamenusurika kuteketea
kwa moto baada ya watu wasiojulikana kufanya jaribio la kulipua ofisi za
makao hayo.
Hii ni video inayomuonyesha Katibu wa Chadema Dr.Wilbroad Slaa akielezea tukio hilo.
↧
Alichokisema Dr. Slaa baada ya ofisi za makao makuu ya CHADEMA jijini Dar kunusurika kuchomwa moto
↧