Utafiti uliofanywa na Taasisi ya Utafiti wa Uchumi na Jamii
(ESRF), umebaini asilimia 33.4 ya Watanzania wameghubikwa na umaskini
uliokithiri jambo linalosababisha vifo, msongo wa mawazo, afya duni na
utegemezi.
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa Kituo cha Redio
cha Maendeleo kwa ajili ya kutoa taarifa za maendeleo kwa umma
iliyozinduliwa na ESRF jana, Mhadhiri wa Uchumi wa Chuo
↧