Tishio la mgomo wa wafungwa 17 waliohukumiwa kifo na wa vifungo vya kati
ya miaka mitano hadi 30 katika Gereza Kuu la Lilungu lililopo mkoani
Mtwara, limelitikisa Jeshi la Magereza nchini na kuchukua hatua haraka
kushughulikia malalamiko yao.
Aidha, wafungwa hao walikataa kuvichukua baadhi ya vitu vilivyopelekwa
gerezani hapo na Mkuu wa Magereza Mkoa wa Mtwara, Mussa Kaswaka, wakidai
↧