KAMATI Ndogo ya
Maadili ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), leo inaanza kuwahoji wanachama
sita, wakiwemo viongozi waandamizi kwa tuhuma za kuanza harakati za
urais mwakani kinyume cha utaratibu.
Wanachama hao wanatuhumiwa kufanya kampeni kabla ya wakati, jambo linalodaiwa limekuwa likiwavuruga wanachama.
Ni kutokana na
vitendo hivyo, Makamu Mwenyekiti mstaafu wa CCM (Bara), John
↧