TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Jeshi la Polisi nchini, linapenda kuufahamisha umma kuwa, mnamo tarehe
15/02/2014 siku ya Jumamosi katika viwanja vya Polisi Barracks, barabara
ya Kilwa, jijini Dar es Salaam, kutakuwa na hafla ya kumuaga IGP
Mstaafu Said Alli Mwema kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa sita mchana.
Katika hafla hiyo, kutakuwa na mambo mbalimbali yaliyoandaliwa
↧