YAH: KURUDISHWA KWA USAFIRI WA MABASI KWENDA FERRY NA MNAZI MMOJA
Kutokana na adha wanayopata abiria wanaofanya safari zao kati ya
Kivukoni na Mnazi Mmoja, SUMATRA ikishirikiana na kikosi cha usalama
barabarani (Kanda maalumu) imerudisha usafiri huo ambapo mabasi ya UDA sita (kwa kuanzia) yatakuwa yanafanya safari kila siku katika maeneo hayo.
Usafiri huu umeanza rasmi leo ( jana )
↧
Taarifa ya SUMTRA kuhusu kurudishwa kwa usafiri wa mabasi yaendayo Ferry na Mnazi mmoja jijini Dar
↧