WAKATI kesi yake juu ya kifo cha aliyekuwa nyota wa filamu Bongo,
Steven Kanumba ikianza kurindima leo katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es
Salaam, mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ ametoa la moyoni akikumbuka
mapenzi ya jamaa huyo aliyetangulia mbele za haki.
Lulu alifunguka hayo mwishoni mwa wiki iliyopita, Siku ya Wapendanao
(Valentine’s Day) iliyosherehekewa duniani kote Ijumaa
↧