Waziri
wa Ujenzi,Dkt. John Pombe Magufuli leo amefanya ukaguzi wa ujenzi wa
nyumba za Serikali zipatazo 851 zilizopo katika eneo la Mabwepande,
Kinondoni,jijini Dar es Salaam zinazosimamiwa na Wakala wa Majengo
Tanzania (TBA). Huu ni muendelezo na mikakati ya Wizara ya Ujenzi ya
kuwajengea na kuwauzia watumishi wa Serikali nyumba kwa bei nafuu.
Waziri
wa Ujenzi,Dkt. John Pombe
↧