Mh. Rais Kikwete Aalikwa Nigeria na Rais Jonathan
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Rais Goodluck Jonathan wa Nigeria wakati viongozi hao wawili walipokutana na kufanya mazungumzo Alhamisi, Januari 23, 2014, kwenye Hoteli ya...
View ArticleAjabu,,,,,, Wakati Mafuriko yanaendelea Dumila, Mke wa Mtu Afumaniwa...
Jambo limezua jambo! Mvua zilizonyesha na kusababisha mafuriko maeneo ya Dumila mkoani hapa, zimemuumbua mke wa mtu ambaye jina lake halikupatikana, akiwa anasaliti ndoa gesti. Mafuriko hayo...
View ArticleSlaa; 2015 Maamuzi Magumu na Makini ni muhimu kwa maslahi ya Watanzania
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Wilbrod Slaa, amesema ili nchi iondokane na hali ya umaskini, wananchi wanatakiwa kufanya uamuzi mgumu wa kutoirudisha CCM madarakani,...
View ArticleRais Obama amwalika Rais JK Kwenye Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Marekani Mheshimiwa Barack Obama amemwalika Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika...
View ArticleChama Cha Mapinduzi Bukoba Mjini Chatoa Tamko Juu ya Ripoti ya CAG
TAMKO LA CHAMA CHA MAPINDUZI WILAYA BUKOBA MJINI TAREHE 24/01/2014 KWA VYOMBO VYA HABARI Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Bukoba Mjini kupitia kikao chake cha kawaida cha Kamati ya Siasa ya H/Kuu ya...
View ArticleUkatili Jamani..... Mwalimu Mkuu Atuhumiwa Kumlawiti Mtoto Yatima na...
MWANAFUNZI mmoja (Jina limehifadhiwa) wa Darasa la Saba katika Shule ya Msingi Mkombozi iliyopo katika mji mdogo Mbalizi Wilaya ya Mbeya Mkoani hapa ameshindwa kuendelea na masomo tangu shule...
View ArticleBaba Mzazi Aamua Kumshtaki Mwanawe kwa Kosa la Kuoa Mwanamke Masikini
PATNA, India -- MWANAMUME nchini India amemshtaki mwanawe wa pekee wa kiume katika mahakama kwa kumharibia sifa, alipoamua kumuoa mwanamke wa tabaka la chini. Alisema kwamba kitendo hicho kimemharibia...
View ArticleWaliofeli kidato cha pili watarudia darasa
IMEELEZWA kuwa, licha ya matokeo ya kidato cha pili kutolewa `kimyakimya’ kupitia ofisi za Elimu za Kanda na kubandikwa shuleni, hatua hiyo haimaanishi kuwa waliofeli wamenusurika kutorudia darasa....
View ArticlePicha za Rais Kikwete alivyoongoza mazishi ya aliyekuwa mbunge wa Chalinze...
Rais Kikwete alivyoongoza mazishi ya aliyekuwa mbunge wa Chalinze Ramadhan Bwanamdogo Rais Jakaya Kikwete akiweka udongo katika kaburi la aliyekuwa Mbunge wa Chalinze kwa tiketi ya CCM Ramadhan...
View ArticleFreeman Mbowe anusurika kufa jijini Mwanza
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, amenusurika kifo baada ya gari alilokuwa akisafiria kutoka jijini Mwanza kwenda wilayani Ngara, Kagera kupata ajali. Ajali hiyo ilitokea jana saa 6 mchana,...
View ArticleWaziri wa Fedha akiri serikali kuwa katika hali ngumu kifedha....
Waziri wa Fedha, Saada Mkuya amekiri Serikali kuwa katika hali ngumu, lakini akasema kuwa mkakati uliopo ni kudhibiti matumizi ili yaendane na fedha iliyopo. Waziri Saada alisema hayo kwa njia ya...
View ArticleMchungaji Mtikila kufungua kesi kupinga kuendelea kwa mchakato wa mabadiliko...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokratic (DP), Mchungaji Christopher Mtikila anatarajia kufungua kesi Mahakama Kuu ya Tanzania kupinga kuendelea kwa mchakato wa mabadiliko ya Katiba Mpya. Mchungaji...
View ArticleWanafunzi wa sekondari ya wasichana iliyopo wilayani Bagamoyo mkoani Pwani...
Picha ya mtandao ** Shule moja ya sekondari ya wasichana iliyopo wilayani Bagamoyo mkoani Pwani, imelalamikiwa na wanafunzi pamoja na wazazi kuwa mabinti wanajihusisha na vitendo vya ngono vya...
View ArticleProfesa Mwesiga Baregu afichua siri ya kutwangana ngumi na kusalitiana ndani...
MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Profesa Mwesiga Baregu, amefichua siri ya madai ya usaliti ndani ya chama hicho. Akizungumza na Mtanzania katika mahojiano maalumu...
View ArticleSerikali ya Tanzania yaiomba Uingereza msaada wa mabehewa na injini za treni...
SERIKALI ya Uingereza inatafakari ombi la Tanzania la mabehewa na injini za treni, ambayo nchi hiyo haizitumii tena, lakini bado ni nzima kwa ajili ya kusaidia kuimarisha usafiri wa reli katika...
View ArticleUfoo Saro wa ITV amwaga machozi kanisani wakati akimshukuru Mwenyezi Mungu...
Ufoo saro jana amefanya ibada na kusema "Namshukuru Mungu kwa kuniponya"... Hiii ni mara ya kwanza kwa Saro kuzungumza tukio hilo tangu aliporuhusiwa kutoka Taasisi ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu MOI...
View ArticleWAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, akiri kwamba Serikali ilifanya uzembe katika...
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, amekiri kwamba Serikali ilifanya uzembe katika kutatua taarifa za uchochezi zilizosababisha vurugu za Mtwara. Kauli hiyo aliitoa mjini Mtwara jana alipozungumza na wananchi...
View ArticleTuhuma nzito Baraza la Mawaziri ....Profesa Ibrahim Lipumba atilia shaka...
MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, amelishushia tuhuma nzito Baraza la Mawaziri, baada ya kudai baadhi ya mawaziri walioteuliwa hawana elimu ya kutosha. Akizungumza na...
View ArticleWaziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Asha-Rose Migiro aitembelea tume ya...
Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Asha-Rose Migiro (kushoto) akipokea nakala za ripoti za Tume ya Mabadiliko ya Katiba ikiwemo Rasimu ya Katiba kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Joseph Warioba...
View ArticleTanzania kuisaidia Madagascar kuondolewa vikwazo ilivyowekewa na jumuiya za...
Rais mpya wa Madagascar Hery Rajaonarimampianina akiapishwa rasmi rais wa nchi hiyo mjini Antananarivo kufuatia ushindi mkubwa alioupata katika uchaguzi mkuu uliofanyika nchini humo mwezi Desemba...
View Article