TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais
wa Marekani Mheshimiwa Barack Obama amemwalika Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete kuhudhuria
Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika ambao anauandaa katika mji mkuu wa
Marekani, Washington baadaye mwaka huu.Mkuu wa Shirika la Misaada ya Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID), Bwana Rajiv Shah amewasilisha mwaliko
↧