KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Wilbrod
Slaa, amesema ili nchi iondokane na hali ya umaskini, wananchi
wanatakiwa kufanya uamuzi mgumu wa kutoirudisha CCM madarakani, katika
uchaguzi mkuu ujao, utakaofanyika mwakani.Dk. Slaa alisema misingi mibovu ya CCM ndiyo sababu ya nchi kuyumba
na kwamba hali hiyo imechangia Tanzania kuwa ya pili kutoka mwisho kwa
↧