Jambo limezua jambo! Mvua zilizonyesha na kusababisha mafuriko maeneo
ya Dumila mkoani hapa, zimemuumbua mke wa mtu ambaye jina lake
halikupatikana, akiwa anasaliti ndoa gesti.
Mafuriko hayo
yalisababishwa na mvua kubwa zilizoanza kunyesha Jumatano iliyopita na
kusababisha maafa makubwa yakiwamo kuharibiwa kwa makazi ya watu,
majengo ya serikali zikiwamo shule, vyuo na mahakama.
↧
Ajabu,,,,,, Wakati Mafuriko yanaendelea Dumila, Mke wa Mtu Afumaniwa Akisaliti Ndoa Yake Guest House
↧