Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Rais Goodluck Jonathan
wa Nigeria wakati viongozi hao wawili walipokutana na kufanya
mazungumzo Alhamisi, Januari 23, 2014, kwenye Hoteli ya
Intercontinental, Davos, Uswisi, ambako walikuwa wakihudhuria Mkutano
wa Mwaka huu wa Taasisi ya Uchumi Duniani –WEF.
(PICHA NA IKULU)
RAIS KIKWETE AALIKWA NIGERIA NA RAIS JONATHAN
↧