TAMKO LA CHAMA CHA MAPINDUZI WILAYA BUKOBA MJINI TAREHE 24/01/2014 KWA VYOMBO VYA HABARI Chama
Cha Mapinduzi Wilaya ya Bukoba Mjini kupitia kikao chake cha kawaida
cha Kamati ya Siasa ya H/Kuu ya Wilaya iliyoketi leo tarehe 24/01/2014.Kimepokea
na kujadili taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali
(GAG) kuhusu Ukaguzi maalum uliofanyika katika Halmashauri ya Manispaa
↧