MWANAFUNZI mmoja (Jina
limehifadhiwa) wa Darasa la Saba katika Shule ya Msingi Mkombozi
iliyopo katika mji mdogo Mbalizi Wilaya ya Mbeya Mkoani hapa ameshindwa
kuendelea na masomo tangu shule zifunguliwe akiogopa kuzomewa na wenzie
baada ya kuhisiwa kulawitiwa na Mwalimu Mkuu wake.Hatua ya
mwanafunzi huyo kushindwa kufika shuleni kuungana na wenzie kumetokana
na madai ya kuzagaa kwa
↧