PATNA, India
-- MWANAMUME nchini India amemshtaki mwanawe wa pekee wa kiume katika
mahakama kwa kumharibia sifa, alipoamua kumuoa mwanamke wa tabaka la
chini. Alisema kwamba kitendo hicho kimemharibia sifa na hadhi yake katika jamii.Mzee
Sidhnath Sharma anataka alipwe rupia 10,000,000 (KSh13,638,900) na
mwanawe Sushant Jasu, na anataka mahakama iamuru kwamba kijana huyo
asitumie tena
↧