IMEELEZWA kuwa, licha ya matokeo ya kidato cha pili kutolewa `kimyakimya’ kupitia ofisi za Elimu za Kanda na kubandikwa shuleni, hatua hiyo haimaanishi kuwa waliofeli wamenusurika kutorudia darasa.
Hayo yameelezwa na Msemaji wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Ntambi Bunyazu alipozungumza na gazeti la Habari leo jana.
Alisema kwa sasa Wizara inaendelea kujumuisha matokeo hayo
↧