Rais Kikwete alivyoongoza mazishi ya aliyekuwa mbunge wa Chalinze Ramadhan Bwanamdogo
Rais
Jakaya Kikwete akiweka udongo katika kaburi la aliyekuwa Mbunge wa
Chalinze kwa tiketi ya CCM Ramadhan Bwanamdogo aliyefariki dunia juzi.
Maziko ya marehemu Bwanamdogo, yamefanyika kijijini kwake Chalinze Mion,
wilaya ya Bagamoyo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
↧