Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, amenusurika kifo baada ya gari
alilokuwa akisafiria kutoka jijini Mwanza kwenda wilayani Ngara,
Kagera kupata ajali.
Ajali hiyo ilitokea jana saa 6 mchana, umbali wa kilometa mbili
kutoka Kata ya Katoro, Geita na inadaiwa kuwa gari alilokuwa akitumia
limeharibika sehemu ya mbele.
Taarifa za uhakika kutoka eneo la tukio
↧