Waziri wa Fedha, Saada Mkuya amekiri Serikali kuwa katika hali
ngumu, lakini akasema kuwa mkakati uliopo ni kudhibiti matumizi ili
yaendane na fedha iliyopo.
Waziri Saada alisema hayo kwa njia ya simu,
alipotakiwa na Mwananchi kujibu madai ya Mdhibiti na Mkaguzi
Mkuu wa Serikali (CAG) juu ya kauli yake ya hivi karibuni aliyoitoa
katika mkutano mjini Dodoma.
↧