Mwenyekiti wa Chama cha Demokratic (DP), Mchungaji Christopher
Mtikila anatarajia kufungua kesi Mahakama Kuu ya Tanzania kupinga
kuendelea kwa mchakato wa mabadiliko ya Katiba Mpya.
Mchungaji Mtikila akizungumza na Mwananchi
alisema, madhumuni ya kufungua kesi hiyo ni mchakato huo kukiuka hatua
mbalimbali muhimu wakati wa kuiandaa ikiwamo kutoa elimu kwa wananchi
kipi wanatakiwa
↧