Picha ya mtandao
**
Shule
moja ya sekondari ya wasichana iliyopo wilayani Bagamoyo mkoani Pwani,
imelalamikiwa na wanafunzi pamoja na wazazi kuwa mabinti wanajihusisha
na vitendo vya ngono vya jinsia moja (usagaji).
Akizungumza na NIPASHE mmoja wa wazazi (jina linahifadhiwa) alisema
shule hiyo imepoteza sifa kwa kuwa kuna wimbi kubwa la wanafunzi
wanaojihusisha na vitendo hivyo vya
↧